Kidato cha nne anaweza kusoma kozi ya clinical officers ?

Kidato cha nne anaweza kusoma kozi ya clinical officers ?

Joined
Aug 27, 2014
Posts
26
Reaction score
0
Jaman samahanini naomba nieleweshe hiv kuwa hivi kidato cha nne anaweza kwenda kusomea clinical officers katika vyuo vya serikali na application zao zimekaa vipi

jee unaaplaia chuoni au una apply wizarani na ni mda gani wanaanza kuapply naombeni nieleweshwe na kuhusu matokeo yake yuko na distinction ya 3.7 na phy-B+ na chem-B na bios-B+ math-B naombeni mnieleweshe kwakwel.
 
Yeah, form leaver anaweza omba na kuchaguliwa kusomea kozi yoyote ya afya maadam inatambulika na NACTE ktk ngazi ya astashahada au stashahada.

Kwa mfumo wa sasa maombi yote yanatumwa NACTE kupitia mfumo wa pamoja wa udahiri. Maombi haya yanafanyika kwa njia mtandao baada ya kulipa kiasi tajwa kama ada ya maombi. Maombi yataanza hivi karibuni kama bado hayajaanza.

Kwa taarifa zaid tembelea The National Council for Technical Education
 
Ana matokeo mazuri akiapply nacte atapata nafasi bila waswasi kbsa
 
jaman asanteni saan kwa kunielewesha sasa tunaweza kuanza kufuatilia kwa ukaribu lakin bado nahitaji saan maoni yenu na naomba msisite pale nitakapokuwa nikiwaulia. KWAHIYO ANAWEZA KUPELEKWA CHUO CHA SERIKALI NA VYUO VYA SERIKALI VIANVYOTOA KOZI YA CRINICAL OFFICERS NITAVIPATIA WAP....?????
 
nakuhusu kulipa ni serikali inakusomesha au wew mwenyew private ndo unajigharamia...???
 
Mimi nilikuwa ninamapepe kama yakwako juu ya hiyo kitu nilikuwa natamani nizijue hata topic wanazosomaga hao clinical officers lakn nikutoe was na mapepe ulionayo kwanza kabisa kwa ufahulu wako nafasi lazima upate kama jamaa alvosema hapo juu muda wa maombi

Ukifika utayajua mambo yote unayouliza maana wizara itatoa tangazo lenye maelezo ya kina juu ya hiyo coz na nyingine nyingi hivyo bas nikuombe uwe mpole na mvumilivu usitoke kamasi sana halafu labda kwa kukusaidia kuwa selekted chuo cha serikali

it doesnt mean hutolipa ada noo ila tu ada zao ni nafuu ukilinganisha na vyuo binafsi kitu kama kwenye m na ushehe gharama zote hayo makadirio usubir tangazo watatoa figa kamili ni hayo tu dogo
 
Ndiyo form four anaweza kusoma clinical officer, unaweza kuapply moja kwa moja chuoni au kutuma maombi wizarani. kama unachuo ambacho unatamani kusoma ni vizuri ukaaply moja kwa moja chuoni. wizara imeshafungua maombi we ingia The National Council for Technical Education na kwa vyuoni watu wameshaanza kutuma applications.
 
Back
Top Bottom