Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Dah balehe hata shule ya msingi pia.Balehe.
Na ukienda kwenye kale katopick ka reproduction ndo utaelewa kwel kipindi hcho ndo kipindi watoto wanakuwa kwenye peak ya foolish age na kubaleheUkizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito,wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili.sasa nauliza kidato cha pili kunajinamizi gani?
Hapo ndio kule chini kunafukuta sana sumakuUkizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito,wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili.sasa nauliza kidato cha pili kunajinamizi gani?
Panafukuta kule chini Ila km ukimkomalia mtoto hapo anatuliza chupiKweli kabisa wengi uacha shule wakifika kidato cha pili,
Na wengi uanza umalaya wakifikia kidato hiki.
Wengi wanajisikia kupiga paipu damu inachemkaHalafu wavulana wengi huanza kupoteana form 3 tabia za hovyo na makundi ya ajabu
Mimi nimeanza kushuhudia majamaa Mashoga' class kipindi hicho sijui hata ushoga nini na usagaji yaan nilishangaa wanaume wananyonyana midomo na wanawake wananyonyana midomo alafu wanashindana hapo nipo darasa la 6 kuna binti alikua kirukaruka jamaa wakampiga mande akashika mimba darasa la 6Bweni baadhi wanakuwa chakuka ya wenzao
Hatari sanaMimi nimeanza kushuhudia majamaa Mashoga' class kipindi hicho sijui hata ushoga nini na usagaji yaan nilishangaa wanaume wananyonyana midomo na wanawake wananyonyana midomo alafu wanashindana hapo nipo darasa la 6 kuna binti alikua kirukaruka jamaa wakampiga mande akashika mimba darasa la 6
Umri wa balehe huoUkizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito, wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili.
Sasa nauliza kidato cha pili kuna jinamizi gani?
Hatari Sana,hii unadhani inachangia na nini?Mimi nimeanza kushuhudia majamaa Mashoga' class kipindi hicho sijui hata ushoga nini na usagaji yaan nilishangaa wanaume wananyonyana midomo na wanawake wananyonyana midomo alafu wanashindana hapo nipo darasa la 6 kuna binti alikua kirukaruka jamaa wakampiga mande akashika mimba darasa la 6
Sasa tatizo linalopelekea hii ni zipi?Kweli kabisa wengi uacha shule wakifika kidato cha pili,
Na wengi uanza umalaya wakifikia kidato hiki.
Acha tu nikikumbuka enzi nipo kidato cha pili na gwaride tulilopigishwa ni hatari, kuna Mwl mmoja huyo hawezi kutoka akilini linapokuja swala na mboko yule bwana ni kama alisomea ku-inflict pain ni [emoji91]Form 2 ni darasa tulokuwa tunakula adhabu dah!
Alooh mbona hatari sana hii aisee jmn mbona kama nguvu za kuzaa zinaniisha mmmhh mimi hoi.Hatari sana
Uko sahihi mimi tukiwa primary wavulana na wasichana walikuwa wanacheza mpira "tobo busu."
Mtu akipigwa tobo inabidi wenzake wamdandie na kuanza kumla denda labda awahi kwenda kushika sehemu fulani ambayo wamekubaliana ukishika hakuna wa kukupiga denda
Basi wasichana wengi wakawa wanajifanyisha kupigwa matobo ili mradi waliwe mate oyaaa sio poa baadhi walipigwa suspension ilipofika kwa walimu
Hiyo ni miaka ya zamani piga picha sasa hivi. Mashuleni kuna ushoga na usagaji sana. Vibinti vinatombwa sio poa