Kidato cha pili kuna jinamizi gani kupelekea wafunzi wengi kupata mimba?

Kidato cha pili kuna jinamizi gani kupelekea wafunzi wengi kupata mimba?

Mimi nimeanza kushuhudia majamaa Mashoga' class kipindi hicho sijui hata ushoga nini na usagaji yaan nilishangaa wanaume wananyonyana midomo na wanawake wananyonyana midomo alafu wanashindana hapo nipo darasa la 6 kuna binti alikua kirukaruka jamaa wakampiga mande akashika mimba darasa la 6
Mwaka.gani mkoa gani?
 
Wengi wanakuwa wameizoea shule,pia wamesahau yale maneno ya wazaz waliyoambiwa wakiwa wanaenda kuanza sekondari
 
Ndio umri wa vibiti vingi kupevuka na huwa na ashki na hamu ya juu kutaka penzi, wengi hutamani kuona ladha hiyo kwa mara ya kwanza bila elimu ya uzazi na huingia bila tahadhari ya kupata mimba. Wanaishia kubeba ujauzito bila kutegemea
 
Baadhi ya wanafunzi wakifika tu kidato Cha pili, akili inawaambia÷
I. wewe sio mtoto
2. Wazazi wako umewazidi akili
3. Nikipata mimba si naolewa tu
 
Wakuu mimi ndio kiranja mkuu huku kuzimu yote yaliyosemwa sio kweli. Narudia tena ni uwongo mtupu.

Kunyweni bia sana imbeni na fanyeni ibada kujifurahisha mwili. Huku hakuna mambo ya duniani kwa hiyo fanyeni mpaka mzeekee.

Huku ni kuzuri ila sio kama duniani. Kuna shida na karaha kuliko duniani. Sio sehemu ya kufikiria kuja ukiwa na nguvu. Ni bora ukae gerezani kuliko kuzimu huku haina vitu vya duniani.
 
Ukizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito, wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili.

Sasa nauliza kidato cha pili kuna jinamizi gani?
Balehe
Kidato cha pili nadhani mtoto anaweza kuwa na miaka 14/15..
Hivyo ni kipindi anakua either ameshavunja/amevunja ungo hivyo anakuwa wa moto sana kimwili hapo ndo shida zinapoanzia sasa ndo kipindi mzazi inabidi uwe Kauzu haswaa lasivyo kuitwa bibi na Babu no chaap [emoji2][emoji2]..
 
Back
Top Bottom