Mwaka.gani mkoa gani?Mimi nimeanza kushuhudia majamaa Mashoga' class kipindi hicho sijui hata ushoga nini na usagaji yaan nilishangaa wanaume wananyonyana midomo na wanawake wananyonyana midomo alafu wanashindana hapo nipo darasa la 6 kuna binti alikua kirukaruka jamaa wakampiga mande akashika mimba darasa la 6
Mihemko, sema nilijuaga ni huku kwetu tu,Sasa tatizo linalopelekea hii ni zipi?
Hatari mkuuAlooh mbona hatari sana hii aisee jmn mbona kama nguvu za kuzaa zinaniisha mmmhh mimi hoi.
Wapate wasipate mimba Hakuna anayejaliUkizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito, wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili.
Sasa nauliza kidato cha pili kuna jinamizi gani?
Hili tatizo Nchi nzima.Mihemko, sema nilijuaga ni huku kwetu tu,
Maana 90% watoto wengi ambao wanasoma shule za kitwa wameishia kidato cha pili.
BaleheUkizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito, wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili.
Sasa nauliza kidato cha pili kuna jinamizi gani?