Habari za leo waungwana, naomba kuuliza kwa yeyote anaye fahamu, private candidates wanapelekwa JKT bila kuomba au inawalazimu waombe? Kama wanaomba ni zipi procedures za kuomba ili na wao waende JKT? Msaada jamani kwa anayejua...!
Natanguliza shukrani