Kidato cha sita kwenda JKT 2015

Kidato cha sita kwenda JKT 2015

Kyamtwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
252
Reaction score
150
Habari za leo waungwana, naomba kuuliza kwa yeyote anaye fahamu, private candidates wanapelekwa JKT bila kuomba au inawalazimu waombe? Kama wanaomba ni zipi procedures za kuomba ili na wao waende JKT? Msaada jamani kwa anayejua...!

Natanguliza shukrani
 
Nadhani unazungumzia kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

Ipo hivi:
 
Back
Top Bottom