Wadau naomba kama kuna mtu anafahamu ratiba ya kuanza Kidato cha 5 mwaka 2013 itakuwaje? Nauliza hivyo kwa sababu hivi karibuni Wizara ya Elimu ilitangaza mabadiliko ya mihula ya mitihani kuwa mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia mwaka 2014 utakuwa
mwezi Mei badala ya Feb. kwa mfumo huo kidato cha Tano wataanza masomo mwezi wa ngapi?