Kidato cha Tano 2013 Mihula yao ikoje?

Kidato cha Tano 2013 Mihula yao ikoje?

changanya

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Wadau naomba kama kuna mtu anafahamu ratiba ya kuanza Kidato cha 5 mwaka 2013 itakuwaje? Nauliza hivyo kwa sababu hivi karibuni Wizara ya Elimu ilitangaza mabadiliko ya mihula ya mitihani kuwa mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia mwaka 2014 utakuwa
mwezi Mei badala ya Feb. kwa mfumo huo kidato cha Tano wataanza masomo mwezi wa ngapi?
 
Form 5 2013 mtaingia july 2013 ila still form vi watamaliza kama kawaida mwezi wa pili hiyo mwakani. pole sna mkuu.
 
Back
Top Bottom