Kidato cha tano kuanza kuripoti 22/07/2013.

Kidato cha tano kuanza kuripoti 22/07/2013.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Wale madogo mnaosubiria posts anzeni kujianda maana mnatakiwa shuleni tarehe tajwa hapo
source;jikoni zinapopikwa posts.
 
Mkuu jikoni ndo wapi aiseee! Ngoja madogo waje wakushukie.
 
Wale madogo mnaosubiria posts anzeni kujianda maana mnatakiwa shuleni tarehe tajwa hapo
source;jikoni zinapopikwa posts.

lakini naona bado hawajaweka post za shule watakazo enda
 
hawa majamaa wehu xana,"""ningekuwa PINDA lazma ningeWANYOSHA hao"""R.I.P WIZARA YA ELIMU
 
Kiongozi wajiandae vp! Na post hawajatumiwa! Au huu mwaka wanajiamulia shule unayotaka unaenda!!!, Nahic hilo jiko nilile wanaloandalia VIROBA!
 
Kiongozi wajiandae vp! Na post hawajatumiwa! Au huu mwaka wanajiamulia shule unayotaka unaenda!!!, Nahic hilo jiko nilile wanaloandalia VIROBA!

Ha ha ha ha ha ha ha.. Mkuu hapo umenivunja mbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom