Kidau ni mzalendo acheni kumpikia majungu ,tumheshimu legend wetu

Kidau ni mzalendo acheni kumpikia majungu ,tumheshimu legend wetu

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Nimesikitishwa sana na fitina ,uzushi unaoendeshwa na mdau hapa JF kuhusiana na katibu mkuu Wilfred Kidau..mdau anasema Kidau ni mburundi hivyo hafai kuwa katibu mkuu wa Tff

1.Wilfred Kidau ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ,tena kipindi ambacho wachezaji walikuwa wanajitolea na kutetea nembo ya timu na maslahi "posho" yalikuwa madogo mno...sasa wewe unaye question uzalendo wa Kidau umeifanyia nini Tanzania na uzalendo wako utupe tulinganishe na uzalendo wa Kidau,

2.Kidau amechezea Serengeti boys chini ya miaka 17,mpaka timu ya wakubwa Taifa stars hivyo ni mtu wa Mpira ,matatizo ya mpira nchini anayejua sababu katoka kwenye mpira ,na kavaa jezi ya Taifa stars sasa wewe unaye question sijui Kidau ni mburundi hafai kuwa katibu mkuu wa Tff una matatizo kwenye medula oblangata.


3.Kidau amekuwa mwenyekiti wa makocha Nchini maisha yake tokea anacheza soka mpaka ana staafu mpaka sasa hivi yapo kwenye mpira na.mpaka amebahatika kuwa katibu mkuu wa Tff huyu former Taifa stars player


Wa-Tanzania tueni na ueledi basi. Wa-Tanzania wengi wamejaa fitina...Toeni udhaifu wa kidau kwenye uongozi na sio fitina za kijinga

Mtu aliyecheza national team chini ya miaka 17,amecheza Taifa stars Leo mnakuja na hoja nyepesi sijui ni mburundi ili aachishwe ukatibu mkuu?

Bongo kweli nyosso

1f69646073134e5f309fe177daaae1e2.jpg
 
Tatizo hizi nafasi watu wanapigania kwenda kujaza matumbo yao na sio kupigania maslahi ya soka la bongo ndio mana kunaibuka majungu,fitina, umbea, uzandiki na unafiki wa kila aina.

.................mbaya zaidi haileweki nani mkweli nani mwongo maana wabongo tuna vipaji vya fitina .
 
Huu ujinga sijui utaisha lini, miaka yote analipigania taifa hajaonekana kama Mrundi leo kwa kuwa anaelekea kupata madaraka ndiyo zinakuja hoja za kijinga, huu ni wivu na husda tu.
 
Kidau ni school mate wangu Mihayo secondary tabora baade nilihama nikaja kumuona tena makongo kabla hajasajiliwa milambo nakumbuka alikua blaza men sana mpenda chupi
 
Je umeangalia hoja zake kuchezea timu ya taifa sio hoja ya kumhalarishia hayo unayozumza.
Nenda kasome katiba

Kila raia wa Tanzania ambaye hana historia mbaya kama makosa ya jinai anayo haki ya kuwania uongozi na kuwa kiongozi

Hoja gani mnataka kusema,na wakati amekidhi vigezo
 
Kidau ni school mate wangu Mihayo secondary tabora baade nilihama nikaja kumuona tena makongo kabla hajasajiliwa milambo nakumbuka alikua blaza men sana mpenda chupi
miaka ile ukiwa maarufu kidogo tu tabora utapiga papuchi mpaka uzikimbie.!
 
Back
Top Bottom