py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Nimesikitishwa sana na fitina ,uzushi unaoendeshwa na mdau hapa JF kuhusiana na katibu mkuu Wilfred Kidau..mdau anasema Kidau ni mburundi hivyo hafai kuwa katibu mkuu wa Tff
1.Wilfred Kidau ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ,tena kipindi ambacho wachezaji walikuwa wanajitolea na kutetea nembo ya timu na maslahi "posho" yalikuwa madogo mno...sasa wewe unaye question uzalendo wa Kidau umeifanyia nini Tanzania na uzalendo wako utupe tulinganishe na uzalendo wa Kidau,
2.Kidau amechezea Serengeti boys chini ya miaka 17,mpaka timu ya wakubwa Taifa stars hivyo ni mtu wa Mpira ,matatizo ya mpira nchini anayejua sababu katoka kwenye mpira ,na kavaa jezi ya Taifa stars sasa wewe unaye question sijui Kidau ni mburundi hafai kuwa katibu mkuu wa Tff una matatizo kwenye medula oblangata.
3.Kidau amekuwa mwenyekiti wa makocha Nchini maisha yake tokea anacheza soka mpaka ana staafu mpaka sasa hivi yapo kwenye mpira na.mpaka amebahatika kuwa katibu mkuu wa Tff huyu former Taifa stars player
Wa-Tanzania tueni na ueledi basi. Wa-Tanzania wengi wamejaa fitina...Toeni udhaifu wa kidau kwenye uongozi na sio fitina za kijinga
Mtu aliyecheza national team chini ya miaka 17,amecheza Taifa stars Leo mnakuja na hoja nyepesi sijui ni mburundi ili aachishwe ukatibu mkuu?
Bongo kweli nyosso