Kidebe cha Dogo Janja

Style ya Dogo janja ya kuimba na kurap ni nzuri sana, aongeze juhudi zaidi na nidhamu katika game.
Kidebe nyimbo nzuri sana
 
tuwekeeni link tuiskie.
 
mungeiweka hapa ili niiskie na mimi wengine hapa ndo tunapata kujua nchi yetu Inaendaje tuko mbali sana na vyombo vya habari wakuu.
 
Ngoma kali video pia nzur sema dgo kaniboa kwa kusem et anamzd uwezo young killer na dee hapo ndo kakoroga uji ambao hawez kunywa
youngkiller ameniboa xna dgo kajikoboa anatia kchefchef
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…