Kidebe cha Dogo Janja

Kidebe cha Dogo Janja

Style ya Dogo janja ya kuimba na kurap ni nzuri sana, aongeze juhudi zaidi na nidhamu katika game.
Kidebe nyimbo nzuri sana
 
Hii inanikumbusha msiba wa Amina Chifupa nilikuwa nje sasa kurejea nimekaa napitia magazeti ya kitambo kwa sister nakuta Amina kaaga dunia nilishtuka kwa sauti haaa! Amina kafariki kila aliyekuwa jirani alinishangaa coz walikuwa hawajui kama sikuwepo na sikutaka kufafanua kwa nini sikujua
Hiyo kidebe ya mda kidogo mkuu sema ni wimbo mzuri sana audio na video zote dogo kajitahidi sana.
tuwekeeni link tuiskie.
 
mungeiweka hapa ili niiskie na mimi wengine hapa ndo tunapata kujua nchi yetu Inaendaje tuko mbali sana na vyombo vya habari wakuu.
 
Back
Top Bottom