Kidero loses city governor’s job in appeal court...and then reinstated.

Kidero loses city governor’s job in appeal court...and then reinstated.

mkuu
i've strong reasons to beleave that nairobi is a kikuyu dominance/territory.

almost all of the plots,rental homes , business stores,matatus/matatu's sacco etc are owned by kikiyus....tukiwa nai,tunapanga ktk magorofa yanayo milikiwa na wakikuyu,at the end of the day tunalipa rent kwa wakikuyu.
tukiwa nai tunalewa ktk pubs zinazo milikiwa na wakikuyu.tuna attend night clubs zinazo milikiwa na wakikuyu,na hata totozi tamu za kutafuna tunazo jipoza at strip club joints like apple bees ni kikuyus...orodha ni ndefu mno.

kwa indication hizo chache nilizo kuwekea,hudhani kwamba shemeji zangu akina MAINA ( lawmaina78 ) "run tings proper" around nairobi like their territory?.

Nairobi is heavily dominated by Kikuyus, that you're damn right. They were running the City council politics before Kidero came in. I am a Kikuyu but I hated the way cartels from my fellow tribesmen were running City hall. It's sickening to think of the likely replacement of Kidero would the mafia Waititu. Kidero had endeared himself to professional Kikuyus and we were giving him maximum support in putting Nairobi on the map of the world.
 
Just to ask!!!

1. Hawa magavana wanaovuliwa vyeo vyao na mahakama- je kunakuwa na uchaguzi tena? Lini? Kwa kodi ya wanainchi?

2. Kenya kuna katiba mpya sasa- je kuna mabadiliko ya maana ktk demokrasia na maendeleo? Vipi ukilinganisha zamani na sasa?

3. May be if County System is too expensive to implement then in Tz tuendelee kwanza na Mikoa (provinces) na tuitumie pesa katika barabara na elimu na afya!

Mnasemaje?

Tupeaneni uzoefu!!
Hili zoezi la kuwavua magavana vyeo kiholela linauma sana. Maana kikatiba italazimu uchaguzi ufanywe na kwa kodi ya mwananchi. Afu wako wengi kwenye msululu wa kuvuliwa mamlaka.
Katiba mpya ni nzuri na itakua ya manufaa kama tutaikamilisha na kwa uadilifu. Yaani kila kaunti ina makadilio yake ya fedha na asilimia kiasi ya pato la kaunti inabaki huko, hii inapelekea viongozi wa kaunti kubuni mikakati ya kuinua uchumi wao.
 
brother
last time i checked, you were so captivated with your new constitution and bragged a lot about its devolution system as the first and best governance system ever in africa.
now what has led to all these blues of kederos? if i may ask.

FYI siasa/katiba za nchi za kiafrica ni za ajabu sana.hutakiwi kujisifia nazo.ni kuwa mpole tu.hata uziwekee utaratibu wa katiba toka mbinguni,manyang'au yatatafuta loophole kukiuka taratibu na kufanya mambo yao yaende wanavyotaka wao.

kwa kenya huo ni mwanzo tu,nina hofu ktk term hii ya kwanza ya ndg. uhuru kenyatta tutashuhudia mengi mno.mungu awajaze uvumilivu.
 
Nairobi is heavily dominated by Kikuyus, that you're damn right. They were running the City council politics before Kidero came in. I am a Kikuyu but I hated the way cartels from my fellow tribesmen were running City hall. It's sickening to think of the likely replacement of Kidero would the mafia Waititu. Kidero had endeared himself to professional Kikuyus and we were giving him maximum support in putting Nairobi on the map of the world.

kumbe hizi harakati zote za kumng'oa kidero,mnataka kumweka ndugu yenu waititu!!!,damn.i've heard lot of controversies about this waititu guy.he is a typical kikuyu cartel man.jamaa ni "mtoto wa mjini" hasa na ameanza fitina kitambo kuutafuta u- governor wa nairobi.
i can even recall how jogoo road was filled with 'Waititu for Governor" graffiti, months before the official 2012 general election campaign.
 
Hili zoezi la kuwavua magavana vyeo kiholela linauma sana. Maana kikatiba italazimu uchaguzi ufanywe na kwa kodi ya mwananchi. Afu wako wengi kwenye msululu wa kuvuliwa mamlaka.
Katiba mpya ni nzuri na itakua ya manufaa kama tutaikamilisha na kwa uadilifu. Yaani kila kaunti ina makadilio yake ya fedha na asilimia kiasi ya pato la kaunti inabaki huko, hii inapelekea viongozi wa kaunti kubuni mikakati ya kuinua uchumi wao.

the flip flopping nature is impressible, your celebration of the removal of kidero was short lived after the reinstatement. again you are sympathetic for him. mimi namvulia raila kofia kila wakati kwa ujasiri wake kwa siasa. kuna vizuizi vingi the only problem umekataa kuelewa kenya ina wenyewe. one might think kubwabaja kwenu hapa inapeana ishara you are winning lakini inapotosha.
 
italazimu kurudi kwenye drawing board. the power players wa devolution wanaharibu mikakati yote yake kufanikiwa. by power players i mean hata magavana wanachangia kwa ugatuzi kufeli. min let us not be blind
 
Back
Top Bottom