curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,124 Reaction score 2,673 Dec 3, 2025 #1 Nidhambi kudai Uji wa Mgonjwa. Ulimpa mgonjwa uji ili uje umsengenye. Huo sio Uislamu. Kitendo cha kumsimanga Lissu ni aibu kwake na dini yake
Nidhambi kudai Uji wa Mgonjwa. Ulimpa mgonjwa uji ili uje umsengenye. Huo sio Uislamu. Kitendo cha kumsimanga Lissu ni aibu kwake na dini yake
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Dec 3, 2025 #2 Mipasho... muimba taarabu kiburi
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,561 Reaction score 3,122 Dec 3, 2025 #3 Mipasho band. Ndiyo maana kazungukwa na machawa. Kwakuwa alimsaidia, alitaka Lissu aimbe mapambio. Lakini kakutana na kisiki cha mpingo.
Mipasho band. Ndiyo maana kazungukwa na machawa. Kwakuwa alimsaidia, alitaka Lissu aimbe mapambio. Lakini kakutana na kisiki cha mpingo.