othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Gongo tayari ishapanda huwezi kuona nilichoandikaSasa umeandika nini!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gongo tayari ishapanda huwezi kuona nilichoandikaSasa umeandika nini!!!?
Wewe niUkitekwa unakuwa kwenye position ya kurekodi utekwaji wako we mama, au ushakunywa gongo huko mburahati na kukimbilia kushika simu.
Unatulingishia kula andazi kwa kisu
Kwa hiyo kuwa ni nyie vyombo vya dora na ccm waliopo madarakani kuteka watu mpaka unapata ujasiri wa kujibu.Unatulingishia kula andazi kwa kisu
Hujaeleweka rudiaKwa hiyo kuwa ni nyie vyombo vya dora na ccm waliopo madarakani kuteka watu mpaka unapata ujasiri wa kujibu.
Wewe ni sawa na hii graphHujaeleweka rudia
Sawa unajua kuchora graphsWewe ni sawa na hii graphView attachment 3258907
Ali kibao ni story?Haya magenge unadai yalitenda hayo.. Hivi hamkurekodi hata tukio moja yaani hata mawasiliano yao ya mipango?
Watu wengine tuonyeshe proof la sivyo ni stori tu mnajitungia.
Ila nawe aiseee unamkumbuka sana sanaaaaaa.. Hadi umemfungulia uzi..
Uzuri wa mjinga anapenda kuuliza mwendelezo sana kama wewe.Sawa unajua kuchora graphs
Hv unajua hata sikuelewi unaongelea nn ww chiz comUzuri wa mjinga anapenda kuuliza mwendelezo sana kama wewe.
Kaandikiwa kingereza hakipandi kabisa MdudeUngeandika kiswahili tu.
>Watu wengine tuonyeshe proof la sivyo ni stori tu mnajitungia.
Na kiliandikwa kiswahili ila kwa vile tulivyoHuna tofauti na yule alietunga kitabu cha kusadikika kuhusu utawala wa awamu ya tano, kile kitabu sidhani kama kimeuza hata copy 50
During the JPM regime, there was only one kidnapping gang, led by JPM's home boys Albert Bashite and former Nyaulingo RSO Mby.. The gang involved security personnel from the Lakes region and no more than three soldiers. I knew because this gang kidnapped me.
During the SSH regime, there are three kidnapping gangs.
1. These task forces are under the coordination of the RPCs and RCOs & ZCOs. One of the victims in this force is Deudenith Soka, Sativa, Deoniz Kipanya, Secretary of Bavicha Mwanza etc.
2. Security department task force. This force is under the coordination of the director of Security and Mapete. The victims in this force are Ally Kibao, Maria Sarungi-Tsehai and others.
3. Green guard forces in the districts and regions. These forces are under the coordination of some ruling party leaders with the support of MPs or ministers from the relevant district or region. One of their incidents is the killing of a Chadema candidate in the local government elections in Tunduma.
In order to end this situation, we must first remove the current government, then bring all four gang groups to justice quickly, even if they escape abroad, we will bring them back.
Mdude Nyagali 7 x 70
Unajua kwa nini yesu aliwaita wanafunzi wajinga.ndo taifa letu kwa sasa kwa maelezo yako unaweza kuwa level ya unaye msaidia anaweza kusema kwa nini uzi umeandikwa kingereza na kwa nini kulikuwa na kitabu cha nchi ya kusadikika au kaptula la max.Utekaji Watu (Abductions) hapa nchini Tanzania ni tatizo kubwa sana ambalo lilianza tangu zamani Sana enzi za Utawala wa Awamu ya Kwanza ya Mwl. Nyerere. Janga hili halikuanza juzi au Jana.
Mzizi wa janga hili umeanzia katika Ubovu wa Katiba ya nchi pamoja na Ubovu wa Sheria zilizopo.