Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu.
Baada ya kuniona akaniambia natakiwa niache punyeto maana inanizeesha, aloo hasira zilipanda kidogo nimrukie vichwa dabo dabo.
Huyu dokta hana msaada zaidi ya kuongeza namba ya vifo tu huko hospitalini. Hapa kila nikijaribu kushtua napata picha ya yale maneno yake ya hovyo, dushe linalala kwa hasira.