Kidogo nizimie nilipomuona poshy queen live!

Kidogo nizimie nilipomuona poshy queen live!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hawa celebrities wetu Ni Bora umuone kwenye picha (editing) vinginevyo unaweza kuzimia aisee. Nimekutana na mshangao wa 2024.

6F0F657E-8597-47A2-BFE3-525F7F74053B.jpeg
 
Hizi ni tetesi au nn mkuu?unataka kuniambia Tako halikuwepo?Hebu tufafanulie kidogo maana ungetupia kapicha tusingehangaika namna hii kufungua codes
 
Hana maajabu yoyote ni ulimbukeni tuu
 
But tako si lilikuwepo?

Au nalo limetoweka?😂

Wadada wa siku hizi usihadaike nae na picha anazopost...


Kuna dogo yuko studio ana kazi ya kuedit picha za wadada na kuwatumia yaani ni hatari... Anavyowasafisha....😂 Nikienda huwa nabaki kustaajabu sana.
 
Yaani mastaa wa Bongo sijui hizo filters, au photo editing utawatamani ngoja ukutane nao live...picha zinadanganya sana
 
Mm nimekutana na lina katka kituo Cha police goba

Alooo kafupi [emoji86]
 
Back
Top Bottom