Kidogo nizimie nilipomuona poshy queen live!

Hizi ni tetesi au nn mkuu?unataka kuniambia Tako halikuwepo?Hebu tufafanulie kidogo maana ungetupia kapicha tusingehangaika namna hii kufungua codes
 
Hana maajabu yoyote ni ulimbukeni tuu
 
But tako si lilikuwepo?

Au nalo limetoweka?😂

Wadada wa siku hizi usihadaike nae na picha anazopost...


Kuna dogo yuko studio ana kazi ya kuedit picha za wadada na kuwatumia yaani ni hatari... Anavyowasafisha....😂 Nikienda huwa nabaki kustaajabu sana.
 
Yaani mastaa wa Bongo sijui hizo filters, au photo editing utawatamani ngoja ukutane nao live...picha zinadanganya sana
 
Posiqueen ni nani huko mjini Daslamu.?
 
Mm nimekutana na lina katka kituo Cha police goba

Alooo kafupi [emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…