buthabutha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 659
- 396
Pole mwana jamvi,Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa daktari juzi aliniambia kuna mdudu hivyo ninywe amoxin na paracetarin ila mpaka sasa naona hali haina, Naombeni msaada wenu.
View attachment 467965 View attachment 467963 View attachment 467966
Pole sana mkuu hapo dawa inabidi uvumilie hadi usaha ndani ujikusanye upasue!!ila nakumbuka hata mimi niliwahi kuugua hivyo eti nikaambiwa dawa eti unakiingiza kwenye papuchi[emoji85]Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa daktari juzi aliniambia kuna mdudu hivyo ninywe amoxin na paracetarin ila mpaka sasa naona hali haina, Naombeni msaada wenu.
View attachment 467965 View attachment 467963 View attachment 467966
Yaani kweli mimi nina rafiki yangu mpaka sasa kidole hakinyooki kwa sababu ya ugonjwa huoHuwa inatpelekea mpaka ulemavu wa kidole kwa ugonjwa huo
Hii hata Mimi ilinitibu kwa kweli kama vile utani Ila ni tiba kabisaSema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Pumba za kinyoko hiziiSema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Wewe kama ni mgonjwa tumia hiyo dawa utanipa majibuAisee!! Kwa hii treatment wewe ni zaidi ya doctor, kwa hiyo wewe ulivyoweka kidole kwenye K huyo mdudu alitoka mwenyewe?
Mhh, hizi dawa zingine zinachekesha sana!!?Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Sasa si unatakiwa unipe kwanza mechanism hata kwa ufupi tu au? Kwamba lile joto la kuleeee linaweza kumtoa mdudu kidoleni...!! Noma sana hili ni ajabu namba la papuchi.Wewe kama ni mgonjwa tumia hiyo dawa utanipa majibu
Inaitwa ndulele ndula ni kitu gani?Ni kama nyanya chungu, we google utaiona.
DuhhSema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Inategemea na eneo mkuu sio eote wanafahamu kwa jina hilo..Inaitwa ndulele ndula ni kitu gani?