Kidole changu kimevimba na kinauma

Kidole changu kimevimba na kinauma

Chukua kipande kilichoondolewa maganda cha kitungu swaumu halafu kifunge hapo nakitamba vizuri kitapona ilakitauma sana.
 
Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa daktari juzi aliniambia kuna mdudu hivyo ninywe amoxin na paracetarin ila mpaka sasa naona hali haina, Naombeni msaada wenu.

View attachment 467965 View attachment 467963 View attachment 467966
Pole mwana jamvi,
dawa rahisi isiyovna gharama yoyote maji ya betri tu!
chanja hapo panapoumwa, omba mtu yeyote mwenye pikipiki udondoshee maji ya betri, yaweke uhusiano na maji ya mwili baaasssss!
kunabrafiki yangu alikuwa anaumwa hiyo majuzi hata mwezi haujaisha alitumia hiyo na akapona tena haraka!
ukitaka nikupe namba zake umpigie akwambie mwenye, mi niko kusini ye yuko geita
 
Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa daktari juzi aliniambia kuna mdudu hivyo ninywe amoxin na paracetarin ila mpaka sasa naona hali haina, Naombeni msaada wenu.

View attachment 467965 View attachment 467963 View attachment 467966
Pole sana mkuu hapo dawa inabidi uvumilie hadi usaha ndani ujikusanye upasue!!ila nakumbuka hata mimi niliwahi kuugua hivyo eti nikaambiwa dawa eti unakiingiza kwenye papuchi[emoji85]
Eti inasaidia!!(hii ni imani potofu sina uhakika lakini )na siku fanya hivyo zaidi ya kumwona doctor
 
Tafuta dawa za kupunguza makali ya ukimwi....hata punje mbili zinatosha..ukishapata niPM nikupe maelezo jinsi ya kutumia..hizo dawa nyingine hazitokusaidia
 
Hiyo dawa uliyopewa na doc ni sahihi.
Na lazima kidole kitauma sana kwasababu kidoleni mna ( nerve endings nyingi) mishipa ya fahamu hivyo maumivu lazima yatakua makali.
Tumia hizo antibiotic ili kidole kisiharibike zaidi sana. Baada ya mda kitapasuka.
Maumivu unaweza kuyapoza na paracetamol. . .
 
Just take Ampicloxacillin p.o. 1gm twice per day kwa siku 2 then endelea na 500mg three times per day kwa siku saba Tuma pia na ibuprofen 400mg .po. three times per day for three days. That is likely to be a staphylococcus infection na utapona bila shaka.
 
Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Hii hata Mimi ilinitibu kwa kweli kama vile utani Ila ni tiba kabisa
 
Pole sana ila kua makini Na kupiga picha kuonyesha alama za vidole kuna wengine wanaweza zitumia vibaya
 
Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Pumba za kinyoko hizii
 
Aisee!! Kwa hii treatment wewe ni zaidi ya doctor, kwa hiyo wewe ulivyoweka kidole kwenye K huyo mdudu alitoka mwenyewe?
Wewe kama ni mgonjwa tumia hiyo dawa utanipa majibu
 
Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Mhh, hizi dawa zingine zinachekesha sana!!?
 
Wewe kama ni mgonjwa tumia hiyo dawa utanipa majibu
Sasa si unatakiwa unipe kwanza mechanism hata kwa ufupi tu au? Kwamba lile joto la kuleeee linaweza kumtoa mdudu kidoleni...!! Noma sana hili ni ajabu namba la papuchi.
 
Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Duhh
 
Tafuta alovera kamulia jelly yake mara mbili kwa siku kwa siku tatu patakauka, hakikisha umepachanja dawa iingie ndani
Aloe-Vera.jpg
 
Back
Top Bottom