Mkuu njiwa Hatuwezi kumpa ushauri pasipo kukiangalia na kujuwa kimevimba kwa sababu gani? huenda ndani ya hicho kidole kuna mdudu anayevimbisha hicho kidole. Lazima aende hospitali kuangaliwa ndipo anaweza kupatiwa dawa.Kitaalamu nadhani twaita raynaud's phenomenon ...
Physiology yake ni tamu sana.. .
Aende hosptal ushauri mzuri
Mkuu njiwa wewe ni Mtaalamu nini?Kitaalamu nadhani twaita raynaud's phenomenon ...
Physiology yake ni tamu sana.. .
Aende hosptal ushauri mzuri