KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

unaambiwa huyu shooter anauwezo wa shoot accurately katika speed yeyote bila kupepesuka hata kidogo yani hakuna hata kutingishika akilenga mwendo kasi wowote ule,au kurusha bomu likanasa katika sehemu ya gari anayotaka linase na asionekane

pamoja na umahili wao lakini hapo kwenye red mbona haiingii akilini? Imekaa kimuvi muvi zaidi.
 
I think the book titled "By way of Deception by Victor Ostrovisky" has got many details to tell including the stories of what Kidon did to assassinate some of the Israel perceived enemies.

kupload basi hicho kitabu hapa mkuu kama unacho na usisahau kunitag ukikitupia ili nikipakue mkuu
 
pamoja na umahili wao lakini hapo kwenye red mbona haiingii akilini? Imekaa kimuvi muvi zaidi.

ndio maana ya kuwepo kitengo kama hicho, kazi km hzo ambazo unaona ni za kufikirika. Ndio maana pia wako wachache sana kwenye kitengo hicho, ni watu wenye uwezo hasa! Ingia kwenye hicho kitabu utaona mengi zaidi! Ndibalema
 
Last edited by a moderator:

Sawa mkuu. pengine na tanzania tunao watu wa dizaini hiyo.
 
Yani nikisikia au kuona au kusoma mambo haya ya kijasusi kwa hakika damu inasisimka mzuka unapanda natamani kujua zaidi na zaidi
 
Kidon ni unit ya hatari sana.Abood Rogo yule sheikh aliyekuwa na msimamo mkali mombasa aliuliwa na hii unit

Kidon ina tier one capabilities,ina uwezo wa kufanya operation at a moment's notice popote duniani
 
nina appication niliwekewa na bro wangu, ina vitabu zaidi zaidi ya 3000 inaitwa Calibre library. vikiwemo karibu vyote vya waandishi kama Robert Ludlum, john le carre, shakespear n.k, latest books kama hicho huwa navitafuta randomly au napitia torrents navipata. vingine nina hardcopy Ndahani
 
Last edited by a moderator:
Yani nikisikia au kuona au kusoma mambo haya ya kijasusi kwa hakika damu inasisimka mzuka unapanda natamani kujua zaidi na zaidi

somasoma vitabu, kimoja kiko hapo juu Iron Lady
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…