KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

Kuna tamthilia yao inaitwa Hatufim-Prisoners of War,ni nzuri,imekua adapted America km Homeland

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kuna watu tz wa kupotezwa hapo mjengoni pumbaf
 
hivi hawa watu hawawezi kukodiwa?

nchi yetu ni chafu aisee, kuna mazingira inabidi yafyekwe!
 
Kuna tamthilia yao inaitwa Hatufim-Prisoners of War,ni nzuri,imekua adapted America km Homeland

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mdau asante sana kwa hii info, nimelazimika kuingia u-tube kuiangalia.
 
Last edited by a moderator:
 
They fight for anti Christ, only those who see with two eyes can see but if u don't know the history "single eyed" people will countinue to brain wash u..!!
 
Natamani sana hayo mafunzo Yao, gari lolote la hela litanijua
 
They fight for anti Christ, only those who see with two eyes can see but if u don't know the history "single eyed" people will countinue to brain wash u..!!

Kwani Waisraeli wenyewe ni Wakiristu !?........wana interest gani na anti Christ !
 
Kwani Waisraeli wenyewe ni Wakiristu !?........wana interest gani na anti Christ !
Soma uelimike!
Waisraeli na wayahudi ni vitu viwili tofauti, wakati Israeli ni Taifa ambamo kuna kila kabila kuanzia waarabu, wayahudi hata wasanaria.
Wayahudi ni kabila lenye koo 12 na wanajulikana kama Jews wanaoamini katika Judaism.
Wakristo kwa uoande mwingine ni wale wanaoamini katika Kristo kuwa Mkombozi wa Maisha yao na si taifa.

Kwenye Ukristo kuna watu wa aina mbali mbali kuanzia waarabu, wayahudi, wazungu, wahindi waafrika na watu wa mataifa mbali mbali.
 
..............ooooh ! hivyo Waisraeli wote kwa utaifa wao wana interest na Anti Christ !?:suspicious:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…