Mkuu mngony napenda sana thread zako maana najifunza mengi sana.Tatizo nakua sizioni kwa wakati.Kama hii nimeiona leo!
nashkuru mkuu, wote tunajifunza, mimi siwezi kuingia JF bila kuingia hili jukwaa kuangalia kuna nini. nikiweza kushare chochote ntakuwa naku tag mkuu.
nimejaribu sana kuapload lakini inaiambia errors, ngoja niendelee kujaribu
MKuu salute kwako..napenda sana kufuatilia thread zako..naomba uwe unanitag..upo vizuri..nikisoma huwa napata hisia flani hivi kichwani
Anza na kitu inaitwa Krav Maga
Said kuna mchiz very talented anaoneshag hizo arts ana channel yake You tubeJamaa gani Mkuu, Krav Maga ni sanaa ya mapigano yenye asili kutoka Israel
Sileti posa kwenu!Nasubiri kitabu.......nataka kujua mbinu zao mbalimbali.......
Naona kitaa umepachoka,kuna viumbe tz inabidi vipotezwe tu maana ni hasara tu
Sileti posa kwenu!