kidonda baada ya tohara

kidonda baada ya tohara

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku tatu nikamrudisha ofisin kinacho nitisha ni ile ngozi ya chini kwenye dudu kipo ka kamba naona kinakua ka kinaungua sa sijui ni nini ala me nahisi ni msuguano..........hapa pameshaanza kutoa maji maji je? Kuna dawa ya kukikausha kisitoe maji maji na kikauke kabisa...? Msaada jamani
 
Back
Top Bottom