kidonda baada ya tohara

kidonda baada ya tohara

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku tatu nikamrudisha ofisin kinacho nitisha ni ile ngozi ya chini kwenye dudu kipo ka kamba naona kinakua ka kinaungua sa sijui ni nini ala me nahisi ni msuguano..........hapa pameshaanza kutoa maji maji je? Kuna dawa ya kukikausha kisitoe maji maji na kikauke kabisa...? Msaada jamani.
 
Oh pole subiri wataalam tu ila kwa ushauri ni vzr kutahiri watoto wakiwa wadogo
 
Nendeni hospitali haraka asije kuharibikiwa. Na kazi ya duka mpumzishe at least kwa wiki moja kama siyo zaidi ili kupunguza kuhangaikahangaika huku na kule.
 
Nipo nje ya nchi na yeye tulikua hapo Tanzania kwa shughuri za msiba kabla ya kuja huku so ilikua sio rahisi kwa yeye kubaki tz kwani tulikua tuna ticket za kwenda na kurudi.. But kidonda sio kikubwa sana ni mchubuko wa ngozi sehemu ya uume karibu na nyuzi.
 
Oh pole subiri wataalam tu ila kwa ushauri ni vzr kutahiri watoto wakiwa wadogo

Ni kweli ila anko etu aliwakatalia watoto kufanyiwa tohara wakiwa chinni ya miaka kumi na mbili kwa madai kua uume unakua mdogo.
 
Back
Top Bottom