Big jay
Member
- Mar 14, 2013
- 96
- 33
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku tatu nikamrudisha ofisin kinacho nitisha ni ile ngozi ya chini kwenye dudu kipo ka kamba naona kinakua ka kinaungua sa sijui ni nini ala me nahisi ni msuguano..........hapa pameshaanza kutoa maji maji je? Kuna dawa ya kukikausha kisitoe maji maji na kikauke kabisa...? Msaada jamani.