Al shabab Member Joined May 21, 2011 Posts 71 Reaction score 6 Aug 30, 2011 #1 Jamani naomba msaada wenu pua inauma nahisi nina kidonda kwa ndani,na mimi ni mtumiaji mkuu wa pikipiki,je inaweza ikawa upepo?nitumie dawa gani nipone?msaada pls!
Jamani naomba msaada wenu pua inauma nahisi nina kidonda kwa ndani,na mimi ni mtumiaji mkuu wa pikipiki,je inaweza ikawa upepo?nitumie dawa gani nipone?msaada pls!