Kidonda puani

Kidonda puani

Al shabab

Member
Joined
May 21, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Jamani naomba msaada wenu pua inauma nahisi nina kidonda kwa ndani,na mimi ni mtumiaji mkuu wa pikipiki,je inaweza ikawa upepo?nitumie dawa gani nipone?msaada pls!
 
Back
Top Bottom