Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa wapo, watu wa fani mtambuka pamoja wale wazoefu wa mambo mbalimbali.Jf unaomba ushauri wa afya boss upo chaka sana au mgodin
Afya nenda kapime mkuu sio kubahatisha utatibu ugonjwa mwingine wakati unaumwa kitu tofauti unaongeza sumu mwilini huku haujatatua tatizo...Kuna mtu alinieleza Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza ndipo uanze dose ndiyo dawa ifanye kazi sawa,naombeni kujuzwa kuhusu hili
Ndugu, jaribu kutumia akili ya kawaida katika kufikiri usipende kushikiwa akili.Wewe kwa kutumia akili yako unahisi ukiumwa malaria utapewa dawa ya malaria tu bila dawa nyingine?Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza
Uleule ujinga wa kurithishana, vipi mpaka leo hujajua ulichokuwa unakimeza?Septrine huwa inaongeza nguvu kwa vidonge mbali mbali mfano 80s, tulimeza Septrine na chloroquine tuliokuwa na malaria sugu
No matter what?, Tulipewa combination ya chloroquine + septrine, over, na tulipona japo tuliwashwa kweli.Uleule ujinga wa kurithishana, vipi mpaka leo hujajua ulichokuwa unakimeza?
Dawa za kupambana na bakteria, homa,maumivu hizi huwa hazikosekani kwenye mlolongo mzima wa dawa kwa mgonjwa ingawaje si mara zote lakini mara nyingi huwa hivyo!
Septrin is a brand name for the antibiotic medicine co-trimoxazole