Kidudu kidogo sana kuzdi hata kibamia, nifanyaje nakimbiwa

Kidudu kidogo sana kuzdi hata kibamia, nifanyaje nakimbiwa

Pole sana, nahs na mm ningekuwa kwenye list ya hao 60 nilivyona aleji na vibamia!
 
wakaka wenye vibamia wana hasira wanaweza hata wakakunyonga hahahahhahuwiiiii
yaani alafu wakishaanza kufikisha 40 zaidi ile stmina ya ujana ikipotea basi wanavisasi balaaa wananuna nuna kama nini
mkuu wewe umepata nguvu ya kuandika hapa nadhani unaelekea kulisolve tatizo lako

hyo takwmu umeitoka wap ndg?
 
Aweke picha ya nn sasa jamani? hata mi kitu cha ni kama soseji lkn namwandaa mdada na kuhakikisha amekuwa tayari ndio.naingia na anaridhika ukickia wanvyonigombea best huwezi amini maana kuna wengine wanakitu kama chupa ya soda lkn hakuna kitu

unatumia mbnu gan mkuu
 
Ndugu, pole kwa tatizo lako la kisaikolojia.

Binafsi nnaamini kuwa hakuna mwanaume mwenye uume mdogo au mwanamke mwenye uke mkubwa.

Kila mtu ameumbwa na mtu wake, kila mtu anaye wa saizi yake, sasa utamtambuaje?

Kuna elimu ilikuwa inatolewa jandoni au kwa kuku saidia, angalia/ tafuta kitabu kinacho itwa "sexual reflexiology" kitakusaidia kujua ni yupi anakufaa.

Ukiona shida, kuna njia 3 ambazo unaweza kuzitumia ili kurefusha na kunenepesha uume wako bila kutumia madawa. Njia hizo ni;

1. Stretching.

2. Jelquing

3. Kegel exercise.

Maelekezo tafuta kwenye internet.

Kumbuka, kila mwanaume ana mwanamke wa saizi yake.

Jelquing definitely does the job...
Jitihada zozote binafsi zinakuboost wewe mwenyewe kisaikolojia hata kama hutapata matokeo mazuri ya jitihada hizo
 
Pole sana, nahs na mm ningekuwa kwenye list ya hao 60 nilivyona aleji na vibamia!

Bahati yako mbaya sana, hujawahi kufikishwa kilele na kibamia...
Umezoea mihogo ya jang'ombe ndio unasikia raha sasa ngoja nikupe habari...

Mtu mwenye dushe kubwa huwa anaamini maumbile yake kwahiyo strength yake kwenye mapenzi ni kusugua kisawasawa, nje ndani za kutosha na mara zote michubuko lazima ihusike ikifuatiwa na maumivu kwa wanawake wasiojua kuwasiliana na mwenza wao kwamba hapo mambo sio sawa. Mara zote hizo midume hii husikika ikijisifu kwamba ikimaliza kazi lazima papuchi ikakandwe au ipate moto....

Kwa upande mwingine mtu mwenye kibamia hana confidence na biashara ya kitandani kwahiyo strength yake kuu ni romance za ukweli. Sasa hapa ni kwa wale vibamia wanaojitambua ndio wanakula bingo kwasababu wanahakikisha wanamridhisha mwanamke kabla ya kuingia. Yaani nasema kilele cha kwanza kinafikwa kabla kibamia hakijatumbukizwa. Halafu kuna namna ya kuunganisha kabla mwanamke hajapoa ndio hapo kibamia kinapoingizwa kinaleta ladha ya tofauti kisaikolojia kwa mwanamke anasahau size anawaza kumaliza tuuu.. hapo napo kibamia kisipokuwa kichovu kikavumilia madakika ya kutosha balaa lake lazima majirani wajue leo mwanamke kapatikana....

Mleta mada nakuuliza kama kwa kutumia kidole kimoja mwanamke anamaliza vipi kibamia kishindwe? Au ndio kusema ni kidogo kuliko kidole chako?...

Wasikilize sana wanaokuambia ni tatizo la kisaikolojia linalokunyima confidence na pia ni tatizo hilo hilo la kisaikolojia linalomfanya mwanamke asifikie kilele anapoona una kibamia...

Kwahiyo kazi kwako ni kucheza na hizo saikolojia mbili, ya kwako na ziadi ya kwake kwa sababu ukimudu ya kwake huna haja na ya kwako wala hutafikiria kutafuta njia za kujikuza
 
piga mbunye kwa sana,itakuwa kubwa tu,siunajua ata mfanya mazoezi kila anavyojibidisha kufanya ndivo na mwli unakuwa mkubwa
 
Erecto au Vega ni kwa ajili ya kuongeza nguvu na c maumbile
 
duh!!...pole sana..Cha msingi nikujimini tu..kama umesex na mademu 60 wote hao hamna uliye mridhisha au kumfikisha kileleni umme mdogo si chanzo cha mwanamke kukukimbia sababu ni haumfikishi kileleni...kama ungefanya hivyo hata kama unakibamia au kidole cha mwisho angetamani tena na tena maana ameridhika...kuwa mtundu kitandani before sex anza na romance cheza na papuchi yake mpaka kwenye G spot.. ukiona haitoshi zama chumvini kabxa
 
Miaka 26 sidhani kama umefika sababu unaonekana kijana mdogo ila ndo hivyo una pepo la uzinzi.
Jinsi unavyoandika maandishi mimi hata sikuelewi.
 
Back
Top Bottom