BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Wawe WANA nyamaza Sasa mikwara MINGI ALAFU WATU wanapoteza VIONGOZI WAO ni matamko TU basi Kama wanahofu kuzichapa MBONA HATA kuwalinda wameshindwaVITA inasababisha
▪︎ Vifo kwa wananchi wasiona Hatia
▪︎ Kushuka kwa Uchumi sana na kwa muda mfupi
▪︎ Uadui wa Kudumu
▪︎ Kuharibu biashara zote za kuimport na kuexport
▪︎ Kushindwa kufanya shughuli za kawaida za kijamii na kielimu...mfano wanafunza kusoma kwa bidii
▪︎ Kushusha rank ya nchi kwenye medali za kiuchumi na kiushawishi Duniani
RUSSIA na CHINA wana nia ya kuja kuwa na Ushawishi Dunia nzima na wanaelekea huko na athari za vita wanajua kwasababu wana uzoefu na vita sio Wageni hasa Urusi ndio maana hawataki kupoteza hiyo nafasi walioifikia kwasasa.
Vita sio Muziki wa Singeli Sheikh wangu
Kupigana Vita au kusupport nchi yoyote kwa silaha zote zinaathiri sana Nchi kiuchumiWawe WANA nyamaza Sasa mikwara MINGI ALAFU WATU wanapoteza VIONGOZI WAO ni matamko TU basi Kama wanahofu kuzichapa MBONA HATA kuwalinda wameshindwa
Kupigana Vita au kusupport nchi yoyote kwa silaha zote zinaathiri sana Nchi kiuchumi
Kwa mfano, kwenye upande wa Silaha, Urusi ana silaha nyingi na nzito sana kwa mfano Fighting jets zake ni hatari zaidi kuliko zingine za ulaya ila akijihusisha na vita baada ya muda hatauza gesi wala Chuma yake...atakosa wateja wa kudumu na nchi itashuka kiuchumi, China vivyohivyo
Sawa Mama, andika ukweli wako hapaUONGO. ACHA UONGO DOGO.
Sawa Mama, andika ukweli wako hapa
Yaani nimpe mama yako mimba akuzae wewe kama mtoto haram halafu tena unioe? uliona wapi Mtoto kumuoa Baba yake hata kama ni wa kambo?Ukweli ni kuwa nataka nikuoe wewe na mama yako. Maana yeye anasema yupo tayari hajui wewe kama utakubali muwe wote wawili
Ukweli ni kuwa nataka nikuoe wewe na mama yako. Maana yeye anasema yupo tayari hajui wewe kama utakubali muwe wote wawiliYaani nimpe mama yako mimba akuzae wewe kama mtoto haram halafu tena unioe? uliona wapi Mtoto kumuoa Baba yake hata kama ni wa kambo?
Huwezi muoa Baba yako wa Kambo😅Ukweli ni kuwa nataka nikuoe wewe na mama yako. Maana yeye anasema yupo tayari hajui wewe kama utakubali muwe wote wawili
Huwezi muoa Baba yako wa Kambo😅