Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.
Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.
Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.
Oyaaaa!!!