Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.

1702487366099.jpg

Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.

1702487358377.jpg

Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.

Oyaaaa!!!
 
Attachments

  • 1702487366099.jpg
    1702487366099.jpg
    41.2 KB · Views: 6
Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.

View attachment 2841646

Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.

View attachment 2841647

Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.

Oyaaaa!!!
Kim atakua mchicha mwiba sio bure!!!
 
Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman.

Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.

Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.

So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.

Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.

Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.

Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
 
Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman. Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.
Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.
So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.
Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.
Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.
Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
😂😂😂
 
Ukishakua gay hauwezi kua na rafiki ambae sio.
NB.
Nimefikiria tuu haiusiani na uzi.
Why? Kim ni binadamu ambaye anaweza penda michezo kama tu mnavyompenda Messi au Ronaldo. So leo ukimhusudu Messi itakua ni sababu ya mpira au sexuality yake?

Mimi nina rafiki binti ila ni msagaji na tunapiga story na kushirikiana maisha yanandelea ila usagaji wake haunihusu maana hatukujuana sababu ya mapenzi au ngono.
 
Back
Top Bottom