Ushoga ni kifo pale south koreaBasi kiduku anakazwa na huyo mwamba
Kumbe?Ushoga ni kifo pale south korea
Jasusi wa CIAKutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku...
Kim atakua mchicha mwiba sio bure!!!Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.
View attachment 2841646
Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.
View attachment 2841647
Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.
Oyaaaa!!!
Utakua Mwalimu wa msingi au sekondari, manake hao uwezo wao wa kufikiri unaishia mahali macho yanapoweza kuishia kuona.They can't think critically.Basi kiduku anakazwa na huyo mwamba
Mi nadhani anaweza kuwa double agent.Kim atakua mchicha mwiba sio bure!!!
SawasawaUtakua Mwalimu wa msingi au sekondari, manake hao uwezo wao wa kufikiri unaishia mahali macho yanapoweza kuishia kuona.They can't think critically.
Ukishakua gay hauwezi kua na rafiki ambae sio.Kim atakua mchicha mwiba sio bure!!!
you are lying kuna jama alikua mwalimu wa Lugha hio hio korea anakuambia Ushoga umekoma sana hapo kwa kiduku tena wazi wazi masela wana show love even classUshoga ni kifo pale south korea
lol Sio mwalimu Jobless uyoUtakua Mwalimu wa msingi au sekondari, manake hao uwezo wao wa kufikiri unaishia mahali macho yanapoweza kuishia kuona.They can't think critically.
Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman.Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.
View attachment 2841646
Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.
View attachment 2841647
Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.
Oyaaaa!!!
πππSidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman. Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.
Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.
So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.
Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.
Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.
Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
Wee thubutu hata kumshika bega tu mwanaume unazana usa pale .hakuna uhuru hata tone mpaka nywele tu u apangiwayou are lying kuna jama alikua mwalimu wa Lugha hio hio korea anakuambia Ushoga umekoma sana hapo kwa kiduku tena wazi wazi masela wana show love even class
Why? Kim ni binadamu ambaye anaweza penda michezo kama tu mnavyompenda Messi au Ronaldo. So leo ukimhusudu Messi itakua ni sababu ya mpira au sexuality yake?Ukishakua gay hauwezi kua na rafiki ambae sio.
NB.
Nimefikiria tuu haiusiani na uzi.
ni vile tu hujui rodman alikua mtu wa aina gan on his primeUkishakua gay hauwezi kua na rafiki ambae sio.
NB.
Nimefikiria tuu haiusiani na uzi.
Ni North Korea sio South KoreaUshoga ni kifo pale south korea