Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Kama la Sir Makonda.
Ana zigo sana yule mpuuzi.
Zamani wakati wa utafutaji hajajipata hakua na wowowo alikua tako bapa. Sijui yamemsibu yapi mtoto wa kiume kua na zigo lote lile la kuvunja chaga. Zigo la kushawishi mabazazi.
Marehemu Sitta anakuzoom tu huko aliko!
 
Usidanganywe bhana kuhusu Kim amepewa kashfa zote wengine walishamzushia kafa...media za Magharibi zinafika mbali sana kaweka sheria ngumu kuhusu hao wahuni harafu yeye awe Gay mnafikiri vizuri kweli...watu anaowakubali ni Rodman na Tyson ambae yeye alihojiwa na kusema alitumia muda mwingi sana kuwaangalia akiwa mtoto...
Kim ni GAY tangu kitambo sana! Na Gayism North Korea ni kawaida mno kama ilivyo kwa Israel. Halafu mzungu ushoga kwake sio skendo hadi atengeneze kumzushia mtu.
 
Achana na hii post ya wikipedia. Mimi nimeona documentary mwaka huu mwezi wa 9 nadhani. Humo yeye rodman mwenyewe kwa kimywa chake anamkandia kiduku na akaeleza ilikuwaje akaenda North Korea.
Documentary haihusu safari ya Rodman ila inahusu Kim Dynasty wanaanzia babu yake, baba yake hadi alivyomuua ndugu yake yule kwa sumu airport hadi kahojiwa mtoto wa huyo ndugu yake. Rodman pia kuna sehemu kahojiwa.
Ukimsikiliza utagundua hakwenda Korea kama rafiki wa Kim hata hilo bandiko uliloweka halikusema hivyo. Kama baadaye alikuja kumpa sifa basi ilikuwa baadaye baada ya kwenda Korea.
Kwenye hiyo documentary anamkandia.
Documentary zingine ni Scripted, zinawekewa story za kutunga au kumchafua mtu hili Documentary iuze... Hata kipindi cha MAGUFULI documentary za kumchafua zimeandikwa sana... Kama ni kweli alizungumza hayo, basi muda mwingine wanapangwa nini cha kusema...

Mzungu hata siku moja hawezi kuandika Documentary nzuri juu ya adui yake... Atafanya juu chini kumchafua hili dunia ione afai...
 
Kim ni GAY tangu kitambo sana! Na Gayism North Korea ni kawaida mno kama ilivyo kwa Israel. Halafu mzungu ushoga kwake sio skendo hadi atengeneze kumzushia mtu.
Nilichogundua Mtaalamu wangu Lusungo hauna taarifa za Korea Kaskazini wacha nikuache bhana....
 
Usidanganywe bhana kuhusu Kim amepewa kashfa zote wengine walishamzushia kafa...media za Magharibi zinafika mbali sana kaweka sheria ngumu kuhusu hao wahuni harafu yeye awe Gay mnafikiri vizuri kweli...watu anaowakubali ni Rodman na Tyson ambae yeye alihojiwa na kusema alitumia muda mwingi sana kuwaangalia akiwa mtoto...
Sijasema kuhusu Kim kuwa Gay, nimekanusha madai yako eti Gay hawezi kua na akili au msimamo thabiti juu ya maendeleo fulani.

Soma comment angu vizuri.
 
Mm nitakua wa mwisho kuamini kwamba Kim ni shoga. Halafu mtu unakaa unaamini documentary zilizoandaliwa na wamarekani na unajua fika wamarekani hawampendi jamaa.
Akili kubwa [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kim ni GAY tangu kitambo sana! Na Gayism North Korea ni kawaida mno kama ilivyo kwa Israel. Halafu mzungu ushoga kwake sio skendo hadi atengeneze kumzushia mtu.
Huo ni uongo bhanaaa
 
Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.

Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.

Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.

Oyaaaa!!!
Copy and paste kuna mijitu mna akili finyu sana
 
Sijasema kuhusu Kim kuwa Gay, nimekanusha madai yako eti Gay hawezi kua na akili au msimamo thabiti juu ya maendeleo fulani.

Soma comment angu vizuri.
Tena wapo magay ubongo zao uko vzr tu kuanzia kielemu,kifedha nk

Ova
 
Why? Kim ni binadamu ambaye anaweza penda michezo kama tu mnavyompenda Messi au Ronaldo. So leo ukimhusudu Messi itakua ni sababu ya mpira au sexuality yake?

Mimi nina rafiki binti ila ni msagaji na tunapiga story na kushirikiana maisha yanandelea ila usagaji wake haunihusu maana hatukujuana sababu ya mapenzi au ngono.
Bro.
Nchi hii ni ngumu na nadiriki kusema watu bado malimbukeni.

Ukionekana na dem wanajua mnakulana.
Ukiwaambia nina rafiki wa kike na hatushiriki mapenzi wanakuona wewe sio rijali.

Nchi ya mazuzu hii
 
Back
Top Bottom