Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Korea kaskazini ni zaidi ya unayoisikia kwenye TV... ushoga kwa Kim ni kama fasheni tu...
Sio kweli braza Lusungo nadhani hauijui kabisa Korea Kaskazini ndio maana unaongea hivyo na pia China upo ubalozi wao wanatoa visa kwa Watanzania bila masharti yeyote...
 

Dennis Rodman admitted he thought he was gay when he was 14, 15​

Dennis Rodman said hanging out with his sisters made him question his sexuality.
CHICAGO BULLS
1992; Detroit Pistons forward Dennis Rodman in action against the Chicago Bulls at the Palace of Auburn Hills


Dennis Rodman
© RVR Photos-USA TODAY Sports
Dennis Rodman was the NBA's ultimate bad boy, showcasing an ahead-of-its-time swag on the court with a body covered in tattoos and hair dyed in different colors.
Rodman's unique personality made him a popular figure, not only among NBA fans but also among women. As a result, Dennis made headlines for his relationships with Carmen Electra and Madonna. But before he became a notorious womanizer, there was a time when Rodman thought he was gay.

Rodman thought he was gay as a kid​

Rodman was raised by a single mother in a household with two sisters, Debra and Kim. He spent a lot of time with them and didn't really have any male friends. His sisters, meanwhile, dressed Dennis as a girl, which resulted in him questioning his sexuality. Rodman talked about it in an interview on Oprah Winfrey Show.
“I was very shy and very insecure. You know, I thought that when I was 14, 15, that I was gay because I hung out with my sisters a lot. Everybody was like, ‘You got any guy friends?’ and I was like, ‘No.’ I felt secure hanging out with my mother and my sisters. I was very scared to be around boys. I didn't know how I would fit in because I was so shy."


Philander Rodman abandoned Dennis when he was three or four years old, so he didn't have a father figure growing up. Philander was a womanizer who claimed to have fathered 29 children with 16 different women. That's why it’s no surprise Dennis found comfort and security with his sisters and mother.

Rodman's love life​

Dennis dated a number of celebrities, but he's most famous for his marriage to Carmen Electra. The two tied the knot in 1998 but got divorced a year later. Still, the supermodel always held a special place in Dennis' life, as highlighted in his book "I Should Be Dead By Now: The Wild and Crazy Times of the NBA's Greatest Rebounder."
"I don’t know what it was. Maybe it was because, at that time in my life, I was having sex with lots of different women. So many that, sometimes, it became like a job, you know? With Carmen, it was different. It was nice to be hanging with someone, waiting for the right time, the right place, the right moment,"
Dennis wrote.

Before Carmen Electra, the Chicago Bulls forward was briefly involved with Vivica A. Fox, the talented actress and model. He was also married to Annie Bakes, an American model and actress. However, their relationship also ended in divorce after only one year.
The Worm also dated Madonna. The famous singer even went as far as to offer Rodman $20 million to impregnate her; however, that never happened.

“In 1993, I think her career was declining, and she said the reason why she dated me was because I was a bad boy," Dennis said. "That's why she dated me. I was going up, and she was pretty much leveling off."
 
Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman.

Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.

Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.

So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.

Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.

Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.

Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
Naweza nikakubali, kwa uadui wa Marekani na Korea, hili jambo lisingewezekana.

Kim haamini hata maafisa wa kimarekani, atamwamini raia wa kawaida?
 
Wabongo wengi wanapenda ushoga ila wanajificha.km huamini angalia ni wangapi wamecomment ushoga juu ya hii thread
 
Kuna wanaume mnakera, yaani mawazo yenu yoote ni ushoga! Watu wakiwa karibu tu eti wanakamuana, inamaana nyie mnaowaza hivo hamna washkaji zenu mlioivana bila kukazana?
Akili za wanaume wengi wakitz wana akiki zakijinga sana.wanawaza ujinga ujinga tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga ndo mlionao wabongo, sijui nani aliwaambia mtu akiwa Gay hawezi kua na akili au misimamo kwa ajili ya maendeleo ya maisha yake.

Kuna mwingne alikua anawaburuza class, wakaishia kumuambia "hata km una akili sana na utafika had PhD ila ajira huwezi kupata"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wamevurugwaa balaaa.
Hii ni wewe
 
Back
Top Bottom