Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gheto ukiwa na maana gani Demiss! Mwenyewe, kisela chumba chenye kila kitu au nyumbani kwa wazazi?Hahahaha wote tu ni waongo jaman usiamini kila kitu narefer Uzi wa jinsi ulivyoanza kuishi getho nimeona asilimia 79 ya wanaume wa jf wanaishi getho ila huwa wanasema wana magari na majumba wameoa ni balaaa ila tutafanyaje wanayonge tunabaki tunabwabwaja tu.
nakutisha wewe ili ujue mi ni mtu wa system..mkuu hujui apa unajipachika mamlaka unayotaka..!??Wewe mpemba unamtishia nani? J.f is where we dare to talk openly
hahaaahaaa...😂😂😂😂hii nimeichukuaakuna kadada nilikatumia text 2009
ndo kamenijibu leo
"nambie wangu nilikuwa naoga"
Kwamba aache wivu!Mie namfurahia tu na uongo wake..! isikuumize kichwa mkuu!
Kiduku Lilo ana pesa mbwa haruki, yeye dili za UN, EUROPE kalibia yote kachachafya,
Mi namuitaga Mr Passport,
kama Pitbull a.k.a Mr worldwide anavyosema katika get it started '
'Thriller in Manila, knocking them out like Pacquiao,
....................but for Now it's off to Malaysia
TWO PASSPORTS; THREE CITIES, TWO COUNTRIES, ONE DAY
Now thats worldwide, if you think it's a game, let's play, dale.
Jana alikua Instabull anachek game, akitoka anatua london kuchek ATP world tour 2019, then anaenda zake hong kong's- Singapole-Paris(most expensive cities in the world) then anatua futuhi ndio anawajibu wana jf,
hahahaaaaaa jf raha sanaaa,
Mm hapa jana kutwa nimepiga ndefu, jioni naenda kununua kambale wale wa mitaroni, nafika geto kumbe kachina, nimedibua zangu uji, asaiv naamka lile likambale limeachama na midevu yake na kichwa km cha bwana yule.