reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
hahaaa, sema sisi wabongo njaa zinatufaoya tuhalalishe kula vitu vya ajab, yale madude kwanza yana sura mbaya mpk ngozi, kwanza sijawah yaona hata kwenye mahoteli nakubwa,Hahahahahahhaahhaahhahahaahhaahaaa...ati unadibua uji😂😂😂😂😂..siwapend kambale dah
Anyway, bwana Kiduku Lilo, iwe kweli au si kweli, anatupa kitu wana jf, kwa kudhamilia au laa ila ana nia nzur na wana jf.