Wakuu huyu bwana wa kujiita kiduku lilo ni muongo namba moja humu JF Yeye kila siku anaenda ulaya,anamiliki Range R, BMW, Ford etc but kiukweli ni maskini wa kutupwa.hizi ni baadhi ya thread zake za zamani zikionesha rangi yake nje ya keyboard za JF
Nlikuwa kidato cha nne mkoa flani hivu wenye baridi. Tulikuwa tuna kawaida ya kukutana na wana kwa ajili ya kujisomea miaka yetu sisi shule ilikuwa ngumu halafu ya kiume sana.ukichukulia boarding ya serikali na walimu hawakuwa wengi. So tukitoka likizo tunakuwa na utaratibu wa kupigana vipindi...
Asikuchengue yule ni mtu ambaye ndoto anazoziota anazileta jf sometimes watu hufanya hivyo ili kutafuta attention au kuipa nafsi yao amani kwa kuidanganya maana kiuhalisia haiwezi kuwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.