Anakwambia "Toka niseme nina magari nmekuwa nachukiwa.kipindi kile nmesema nina toyota sikuwa nachukiwa."
Mosi, kabisa muombe msamaha bwana kiduku lilo kwa kukosea kuandika jina lake . Haitwi kuduku bali ni kiduku.
Anakwambia "Toka niseme nina magari nmekuwa nachukiwa.kipindi kile nmesema nina toyota sikuwa nachukiwa."
Yani Toyota si gari! Hahaaaaaa!
Upo vizuri sir! Ningekuwa bongo ngesema hata tuweze onana hotel moja tuongee maana unaonekana kuwa mtu makini sana.napenda watu makini. Kuna jamaa kwa umakini siku alioonesha nlijikuta tu nampa 150,000 kama pongezi.aliona kwenye tairi la gari langu nimekanyaga chewing gum.akaitoa kwa kijiti.nlimshukuru sana.
nmecheka nilivoona jina lake na hapo sijasoma kaandika ninikuna baadhi ya mada na koment inabidi uzichek na kuishia kucheka tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] saluteUpo vizuri sir! Ningekuwa bongo ngesema hata tuweze onana hotel moja tuongee maana unaonekana kuwa mtu makini sana.napenda watu makini. Kuna jamaa kwa umakini siku alioonesha nlijikuta tu nampa 150,000 kama pongezi.aliona kwenye tairi la gari langu nimekanyaga chewing gum.akaitoa kwa kijiti.nlimshukuru sana.