EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Raha sana kumtekenya mtu na kumtazama anavyotekenyeka,wewe jamaa naona umeamua kumtekenya bwana kiduku umuenjoy anavyotekenyaeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko Maramba-Mawili kwa shemeji yake kazi kusumbua watu humu.Kiduku Lilo, Upo ulaya sehemu gani?
mkuu mi nipo dar, ntashukuru sanaWe ni mwenyeji wa wapi?kama si dar...ili siku moja upate nafasi ya kupanda ndege.mimi mwenyewe natamani kupanda haya mabus yenu safari ya mbali sijui huwa inakuaje.napenda adventures.sijui hata nauli zake zinakuaje. Ila tutapanda sote ndege sir.wala si shida.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unamshika kidevu kiduku lilo
fresh, kabisa kiduku tajiri mkubwa tena muacheRaha sana kumtekenya mtu na kumtazama anavyotekenyeka,wewe jamaa naona umeamua kumtekenya bwana kiduku umuenjoy anavyotekenyaeka
[emoji23][emoji23][emoji23]Anakwambia "Toka niseme nina magari nmekuwa nachukiwa.kipindi kile nmesema nina toyota sikuwa nachukiwa."
Yani Toyota si gari! Hahaaaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni mwenyeji wa wapi?kama si dar...ili siku moja upate nafasi ya kupanda ndege.mimi mwenyewe natamani kupanda haya mabus yenu safari ya mbali sijui huwa inakuaje.napenda adventures.sijui hata nauli zake zinakuaje. Ila tutapanda sote ndege sir.wala si shida.
Kati ya watu wanao pendwa na kila mtu Jf ambao hawana maadui yupo mwenye hiyo ID pendwa yupo na MLEVi Mmoja yupo na yule mwanadiplomasia wa international news miss zombokomiminimkulimaakachekasana jamaa unafeli sana ID gani hiyo,nature ya hilo jina lako ni nini
Uadui unatoka wapi humu hata kujuana hatujuaniKati ya watu wanao pendwa na kila mtu Jf ambao hawana maadui yupo mwenye hiyo ID pendwa yupo na MLEVi Mmoja yupo na yule mwanadiplomasia wa international news miss zomboko