Kuna style nyingi za kunyoa hasa kwa wanaume, miongoni ni kiduku na upara
Kati ya hizi style ipi ni nzuri na ya kiheshima katika jamii, maana style zingine kama kiduku akinyoa mtu unaweza kumtafsiri mambo mengi juu ya tabia yake kuhusu hiyo style, na aliyenyoa upara pia unaweza kumtafsiri kwa namna nyingine tofauti na mwenye kiduku.
GuDume uko poa sana kwa uparaView attachment 630705 View attachment 630705 nambie ... maana naona umetuita na sisi wanaume wa shoka hapa. jibu si umeshapata.MI NAPIGA KIPARA TU KWA KWENDA MBELE.... MZEE WA KUPIGA PARA.