Kiduku Vs Upara, ni ipi style nzuri ya kunyoa?

Kiduku Vs Upara, ni ipi style nzuri ya kunyoa?

Tamati

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
1,085
Reaction score
1,960
Kuna style nyingi za kunyoa hasa kwa wanaume, miongoni ni kiduku na upara

Kati ya hizi style ipi ni nzuri na ya kiheshima katika jamii, maana style zingine kama kiduku akinyoa mtu unaweza kumtafsiri mambo mengi juu ya tabia yake kuhusu hiyo style, na aliyenyoa upara pia unaweza kumtafsiri kwa namna nyingine tofauti na mwenye kiduku.
 
Seriously!!! tuanze kujadili nywele sasa.
wewe fanya unavyoona wewe unafit ukiangalia watu wanatafsiri vipi utakua huwajui walimwengu wewe hasa ngozi nyeusi.
 
Style ya nywele inategemea na kichwa chako kilivo, sasa uwe na kichwa kama cha chepe unyoe upara si utachekesha?
Au uwe na kichwa kirefu kwenda juu halafu unyoe kiduku si utakua kama umebeba sufuria kichwani.
Angalia shape ya kichwa chako.
 
269577.jpg
269577.jpg
nambie ... maana naona umetuita na sisi wanaume wa shoka hapa. jibu si umeshapata.MI NAPIGA KIPARA TU KWA KWENDA MBELE.... MZEE WA KUPIGA PARA.

Kuna style nyingi za kunyoa hasa kwa wanaume, miongoni ni kiduku na upara

Kati ya hizi style ipi ni nzuri na ya kiheshima katika jamii, maana style zingine kama kiduku akinyoa mtu unaweza kumtafsiri mambo mengi juu ya tabia yake kuhusu hiyo style, na aliyenyoa upara pia unaweza kumtafsiri kwa namna nyingine tofauti na mwenye kiduku.
 
Nyoa kawaida tu itapendeza zaidi .... na itakupa muonekano wa mtu anaejielewa
 
Raha ya upara ubarikiwe kichwa kikubwa Safi Sana. Kichwa kidogo hata akipendezi
 
Raha ya kipara uwe mfupi pia uwe na Bichwa kubwa mbona watakupenda.
 
Back
Top Bottom