Kidumu, msanii mwenye asili ya Burundi ambaye watu wengi hudhani ni Mtanzania

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
xKidum-Musician100.jpg.pagespeed.ic._hHmErbuKQ.jpg

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Kidumu, amefunguka kwa kusema kuwa watu wengi ikiwamo Wakenya wanadhani kwamba yeye ni Mtanzania kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wakuimba kwa lugha ya Kiswahili.

Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya kazi na Lady Jaydee, ameiambia BBC Ijumaa hii kuwa yeye ni Mburundi lakini kuwa karibu na Watanzania kumemfanya aonekane na yeye ni Mtanzania.

“Tanzania ni nyumbani pia, nilikuwa nikienda Tanzania kila mwisho wa mwezi, hata Wakenya wengi wanadhani mimi ni mtu wa Tanzania, walikujakujua baadae kama mimi ni Mburundi, lakini kwa sababu ya Kiswahili changu bado wanasema mimi ni Mtanzania” alisema Kidumu.

Pia muimbaji huyo alizungumzia mpango mpya wa kufanya kazi na wasanii wa Tanzania.

“Mpango upo kwa sababu nilishauanza, niliimba na Lady Jaydee, niliimba na Msechu wote ni Watanzania, na bado na mpango wa kufanya kolabo zaidi,” alisema Kidumu.
 
alifanya show nyumbani lounge enzi hizo kushuka kila mtu kidumu mbaya..kidumu mbaya..akabaki anashangaa..hadi alipoelekezwa..kiswahili hiki
 
Labda wewe ndio unadhani huyo mhutu ni mtanzania
 
He is the best...has got voice!!handsome and so Taletented
yupo vizuri sana anaimba na anaweza kupiga kila aina ya chombo cha muziki.

Yupo vizuri.
Msikilize kwenye wimbo wake wa kimbia
 
alifanya show nyumbani lounge enzi hizo kushuka kila mtu kidumu mbaya..kidumu mbaya..akabaki anashangaa..hadi alipoelekezwa..kiswahili hiki
kuna show moja aliimba wimbo wa Ali kiba alafu alipomaliza akatoa ufafanuzi akasema sio kila anaeimba nyimbo ya mtu lazima ailipie hapana inaonyesha jinsi gani anavyomkubali Ali kiba na ni lazima kila mwanamuziki awe inspired na mwanamuziki mwingine ili uje kuwa na mafanikio.

Nilimuelewa sana.

He is the best .(IMO)

IMO = in my opinion
 
Mrundi na siyo mburundi,kiswahili nacho ni shida kwako mleta maada
 
kuna show moja aliimba wimbo wa Ali kiba alafu alipomaliza akatoa ufafanuzi akasema sio kila anaeimba nyimbo ya mtu lazima ailipie hapana inaonyesha jinsi gani anavyomkubali Aki kiba na ni lazima kila mwanamuziki awe inspired na mwanamuziki mwingine ili uje kuwa na mafanikio.

Nilimuelewa sana.

He is the best .(IMO)

IMO = in my opinion
fundi siku zote anamjua fundi mwenzake, niliona juzi anahojiwa bbc na kikeke kamuuliza msanii gani unatamani kufanya naye kazi kwa sasa akajibu alikiba, so anamkubali sana jamaa
 
Sikiliza wimbo wa kimbia utajua jamaa alivo na ujuzi
 
Back
Top Bottom