Kielimu, wife material aweje na atoke profession Gani!?

Me1986

Senior Member
Joined
Mar 1, 2025
Posts
101
Reaction score
92
Ova

Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi

Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni

Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi na kwa ubora bila malipo anapiga deki na mop kila siku asubuhi na jioni

Ukioa tu tunapeleka akili kwenye ujenzi ndio mwanamke pekee atakaekufanya ujenge nyumba (ununue kiwanja, ajili mafundi, Hardware
 
Hawajaelewa hapo wanamaanisha hayo makazi huwezi mwambia mkeo😁
 
Hawajaelewa hapo wanamaanisha hiyo kazi ilivyotengenezwa huwezi mwambia mkeo kitu hata kimoja😁
 
Ova

Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi
Wife material hana uhusiano na elimu mkuu usije ukapigwa, kinachofanya mwanamke awe wife material ni utashi na malezi aliyokulia.

Malezi ni ya msingi sana huwa yanamshape mtoto bila kujali elimu aliyo nayo, na elimu haihusiki kabisa katika kumshape mtu
 
Wanamaanisha Tumeandaa akili ya kupika kwa mwanamke utakaeuoa na sio wewe kujua kupika hapo
 
Wife material hana uhusiano na elimu mkuu usije ukapigwa, kinachofanya mwanamke awe wife material ni utashi na malezi aliyokulia.

Malezi ni ya msingi sana huwa yanamshape mtoto bila kujali elimu aliyo nayo, na elimu haihusiki kabisa katika kumshape mtu
"Wasiojulikana wamebadilisha.".. Bora wataoana mashuleni huko watakao baki ndio dunia inawatafuta - Haujui hata wapi mdomo ulipo
 
Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi na kwa ubora bila malipo anapiga deki na mop kila siku asubuhi na jioni
 
Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi na kwa ubora wenye Maono na ustadi mkubwa bila malipo anapiga deki na mop kila siku asubuhi na jioni
 
Back
Top Bottom