Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quality ya mke ni indivualized, hakuna crosscutting formular, the same for a husbandOva
Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi
Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni
Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi na kwa ubora bila malipo anapiga deki na mop kila siku asubuhi na jioni
Ukioa tu tunapeleka akili kwenye ujenzi ndio mwanamke pekee atakaekufanya ujenge nyumba (ununue kiwanja, ajili mafundi, Hardware
Unakikumbusha mbali sana paleSifa kuu ya wife material ni “SUBMISSIVE BEHAVIOUR”. Hio ni character ya asili ya mwanamke ila sio wote wanayo. Ukibahatika kupata mwanamke mwenye hio element moja kwa moja huyo anafaa kuwa mke.
Kuwa SUBMISSIVE ni nini?
1.Kutambua kuwa mwanaume ni kiongozi na CEO ya mahusiano yenu na yeye kuwa nyuma yako kama msaidizi katika safari ya kutimiza ndoto zako.
2.Kukushirikisha mambo yake yote na kutegemea mchango wako katika maamuzi yote atakayofanya akiamini kuwa wewe ndio mtu pekee wa kumsahihisha.
3.Mwanamke kuwa mnyenyekevu ambapo panatakiwa unyeyekevu na kuwa chief comforter pale unapohitaji emotional support.
4.Upendo, hapa inahusisha zaidi kujitoa kwa hali na mali