Kiemba mchambuzi bora asiyezungumzwa

Kiemba mchambuzi bora asiyezungumzwa

kiemba anaongelea mpira kwenye uhalisia wake so pale anawabalance wale wengine ambao wanaujua mpira theoretically tu, ni muhimu kuwa na mtu aliecheza mpira ili kuwabalance wachambuzi ambao wao huchukulia mpira kirahisirahisi tu
 
wengi wasio muelewea kiembea niwale mashabiki watim Kama unajua mpira kiemba anajua kuchambua hataki kutumia hisia ambazo wachambuzi wengi wanatumia
 
Kiemba ni bonge moja la Mchambuzi kwasababu anakupa vitu adimu vyenye uhalisia mwingi ndani ya uwanja na hii inaongeza ladha ktk kwa sisi wasikilizaji,
anajua kuchambua mifumo mbalimbali ya kiuchezaji inayotumiwa na makocha,, anajua dressing room ni vitu gani huwa vinaongelewa na kupelekea impact ktk 2nd half on pitch, he is very good on game trend reading, very gud on game analyzing..!!!

Hvyo uwepo wake yeye na hawa wengine wanaomchambua kinadharia ndani ya kipindi ni muhimu sana cuz inaleta ladha mchanganyiko kwa wasikilizaji

Nawapa pongezi Clouds kwa kuwa na jicho la ziada kuona uwezo wa huyu Legendary wa soka nchini
 
Kiemba ni mchambuzi mzuri sana na ana busara anajua kubalance maongezi na uzoefu wake wa Ligi ya Tanzania ni added advantage.
 
simba mbovu ya mwaka 99 au 2001 (kati ha hiyo miaka 2 kulikuwa na simba ya hovyoo kabisaa)shafiii alikuwepo walikuwa wanamuita giggs alikuwa kembamba nafkiri alicheza mechi moja tu aka concentrate na masomo ifm
Kwahiyo inawezekana alicheza na yule beki wa kulia wa Simba asiyetajwa kabisa, Prosper Omela? na mwenzake Kimune Mwita?
 
Huyu jamaa yupo vizuri sana.
Hivi huwa mnafuatilia?
Nipo namsikiliza hapa yaani wenzake anawafunika vibaya sana.
 
Back
Top Bottom