Uko sahihi kabisasimba mbovu ya mwaka 99 au 2001 (kati ha hiyo miaka 2 kulikuwa na simba ya hovyoo kabisaa)shafiii alikuwepo walikuwa wanamuita giggs alikuwa kembamba nafkiri alicheza mechi moja tu aka concentrate na masomo ifm
SureAmr Kiemba anakuja vizuri sana.
Acha roho mbaya mkuu na wivuKiemba si tu hajui kuongea ila hata ushawishi wa kusikilizwa hana.
Clouds wamebugi.
Kwahiyo inawezekana alicheza na yule beki wa kulia wa Simba asiyetajwa kabisa, Prosper Omela? na mwenzake Kimune Mwita?simba mbovu ya mwaka 99 au 2001 (kati ha hiyo miaka 2 kulikuwa na simba ya hovyoo kabisaa)shafiii alikuwepo walikuwa wanamuita giggs alikuwa kembamba nafkiri alicheza mechi moja tu aka concentrate na masomo ifm
Surewengi wasio muelewea kiembea niwale mashabiki watim Kama unajua mpira kiemba anajua kuchambua hataki kutumia hisia ambazo wachambuzi wengi wanatumia
Kimune mwita MalanyaKwahiyo inawezekana alicheza na yule beki wa kulia wa Simba asiyetajwa kabisa, Prosper Omela? na mwenzake Kimune Mwita?
Ni mashabiki wachache sana wa Simba wanamkumbuka huyo jamaa.Kuna wachezaji wakitajwa mtu anaweza kusema hawajawahi kuchezea Simba.Kimune mwita Malanya
Nilmuoma pia akichezea AFC arusha alikuwa mbabe sana uchezaji kama Wa hashish kondoNi mashabiki wachache sana wa Simba wanamkumbuka huyo jamaa.Kuna wachezaji wakitajwa mtu anaweza kusema hawajawahi kuchezea Simba.